Nahitaji mume anayejitambua

NGAYA2014

Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
6
Reaction score
2
Nahitaji mume mwenye mapenzi ya kweli

Mimi nimeajiriwa,

SIFA

Miaka 35-40,

Awe muislam mwenye maadili ya dini,

Amejiriwa au mwenye shughuli ya kueleweka,

Aliyekuwa serious ani PM
 
Waislam wenye maadili ya dini huwa hatutafutani kwenye mitandao ya kijamii. Nadhani umepotea njia!
 
anaejitambu hawezi kuja huku kutafuta mke.
 
Huna topic? You are not serious at all, wapende na olewa na watu unaowajua dadaaaa
 
hii issue ya watu kutafuta wenza mitandaoni imekuwa siriaz eeh? i used to think ni mambo ya utani ila sasa nazani wana maanisha. Anyway kila kheri mapenzi kokote bahati yako tu
 
Nitaku PM mama ila Serengeti boys ndio tunapatikana huku miaka 40 wapo busy na ndoa zao za kitambo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Join Date : 18th March 2014
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Is JF now a dating site?
 
Hivi huko mtaani,kijijini,kanisani,shuleni,kazini kwenu hakuna watu hadi mje mtandaoni? Used
 
m sioni point ya kumvunja mtu moyo ndoa unaeza pata kokote tu hata mtandaoni..maisha yamebadilika watu wengi maisha yao n mzunguko huo huo kila cku hupat muda wa kukutanana watu wapya sehem km hz ndo za kumingle m nna hakika mpk mtu anataman ndoa basi n mtu mzima mwenye akili timamu kuchezewa au kuchezea n part of life...muachene km we hauko interested unaruka uzi wake tu(maoni yangu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…