Go Millets
Member
- Jul 20, 2021
- 5
- 2
Ninahitaji mtu kwa ajili ya Marketing na Sales kwa Arusha.
Sifa;
Mshahara ni makubaliano ya mwajiri na mwajiriwa.
Email: gomilletss@gmail.com
Mwisho wa kutuma maombi ni 31 August 2021.
Sifa;
- Diploma au Certficate ya Marketing
- Awe na uzoefu kwenye Sales and Marketing kwa kipindi cha mwaka mmoja hasa kwenye Bevarage Industry.
- Awe ana ijua vyema jiji la Arusha na Wilaya za jirani.
- Anaye weza fanya kazi bila kusimamiwa.
- Awe anajua kutumia mitandao ya Facebook na Instragram.
Mshahara ni makubaliano ya mwajiri na mwajiriwa.
Email: gomilletss@gmail.com
Mwisho wa kutuma maombi ni 31 August 2021.