Nahitaji mtu wa kushea nyumba

Nahitaji mtu wa kushea nyumba

Mlima meru

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
114
Reaction score
20
Nimebadilisha mawazo kwani wengi waliokuja nahisi hawakuvutiwa na nyumba
 
khaa! 150000per month iz it a self contener house
 
Mkuu hio nyumba ipo sehem gani ))) na hio 150000 ni pamoja na maji na umeme ama vipi )) naomba ufafanuzi wako tafadhali..
 
Weka sifa hapahapa maana ni muhimu kujua aina ya nyumba. Binafsi nitakuwa Arusha kwa kazi ya Miezi 9 hivyo natafuta nyumba.
Mimi nimeoa ila nitakuja huko bila mke maana familia inakaa kwingine. Wife atakuwa wanakuja angalau Mara 1 kwa mwezi. Kama nitakufaa tafadhali weka sifa za nyumba hapa.
 
Habari,

Mimi ni mwanaume nahitaji mtu wa kushea nyumba sanawari.
sifa; Awe hajaoa wala kuolewa (single) na uwezo la kuchangia rent 150000 kwa mwezi.
Sifa za nyumba nitampa mtu.

Muhusika atakaye ni pm

Asanteni

Basi sawa.......Sanawari sehemu gani.........?.........mimi nipo tayari kushare lakini nataka nijue kwanza.....
 
Nyumba yenyewe iz a self contener house
bed room mbili, Sitting room, Jiko na choo (vya kushea)
Ni nzuri kwa mabachelor
Mimi mwenyewe nipo Married ila wife yupo mkoa mwingine hivyo mara nyingi mimi husafiri na kuweka kufuli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom