Nahitaji Mtu wa kushare nae nyumba.

Nahitaji Mtu wa kushare nae nyumba.

Edoedward1

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
795
Reaction score
310
Nyumba ina vyumba 2 vya kulala, Sitting room,jiko na toilet with bathroom ndani...mimi natumia bedroom moja na siting room
 
mimi sina uhitaji wa chumba/nyumba kwa sasa, ila kwa kukusaidie kuwarahisishia wahitaji ungetaja eneo ilipo nyumba na bei
 
Mkuu,toa taarifa iliyojitosheleza basi, kama
  • Hiyo nyumba ipo mkoa gani,wilaya na hata kata
  • Bei gani,
  • Malipo mtagawana vipi na kwa muda gani?
  • Ipo umbali gani kutokea highway/main road
  • Huduma gani zinapatikana katika nyumba hiyo..........
 
Nyumba ina vyumba 2 vya kulala, Sitting room,jiko na toilet with bathroom ndani...mimi natumia bedroom moja na siting room

Huu ni mfano wa kwa nn watazanzania wengi tuna-fail kwenye baadhi ya mambo yetu ya msingi.
 
Alafu mimi sijaelewa jamani ama ni kwakuwa umeandika share kingereza...Share kivipi? Je nyumba ni yako unaona noma kukaa mwenyewe unahitaji kampani? Hapo nina maana kwamba huyo mtu atakaa bure... Ama umepanga humo umeshindwa kutumia vyumba vyote umeona na wewe upangishe mkuu?!!
 
okay samahanini kwa mlokwazika in case there is any,,iko hivi
Nyumba ipo Ubungo river side niko peke yangu n house is too big for me
natumia rum moja tu
na bei elf 90 kwa mwezi
in case upo inteested PM inahusika
 
Hiyo Alfu 90 kwa mwezi ndiyo unayolipa wewe kwa nyumba yote jumla ambayo itabidi igawanywe?
Au ndio portion atakayolipa huyo "mate" wako baada ya mgawanyo??
 
utaziweza tabia za walimwengu?...au we hujali ili mradi unapumua?.. Kama huna ndugu kawatafute watoto wa mtaani hata wawili uishi nao..
 
okay samahanini kwa mlokwazika in case there is any,,iko hivi
Nyumba ipo Ubungo river side niko peke yangu n house is too big for me
natumia rum moja tu
na bei elf 90 kwa mwezi
in case upo inteested PM inahusika

Elfu 90bei mtakayochangia ama ndo bei ya nyumba nzima............
 
Alafu mimi sijaelewa jamani ama ni kwakuwa umeandika share kingereza...Share kivipi? Je nyumba ni yako unaona noma kukaa mwenyewe unahitaji kampani? Hapo nina maana kwamba huyo mtu atakaa bure... Ama umepanga humo umeshindwa kutumia vyumba vyote umeona na wewe upangishe mkuu?!!

Mkuu umeshawahi nje ya Tanzania/Africa? Swali lako lipo too local mkuu ebu ingia mtandao wa Gumtree.com.au ufungue macho nawewe
 
utaziweza tabia za walimwengu?...au we hujali ili mradi unapumua?.. Kama huna ndugu kawatafute watoto wa mtaani hata wawili uishi nao..

Mkuu Hao watoto wa mtaani sio walimwengu?
 
Mkuu Hao watoto wa mtaani sio walimwengu?
mate wako atakulipa/atalipa pesa ngapi kwa mwezi?
mate wako atatakiwa kuja na nini kingine? au bag lake la nguo tu?
gharama nyingine kwa mate wako ni zipi? kuhusu umeme, maji n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom