Nahitaji Mtu wa kushare nae nyumba.

Nahitaji Mtu wa kushare nae nyumba.

kushare kuna zaidi ya hapo.
Je ni wa jinsia gani, usianze kusema ooh nimezidiwa au mbona unaenda mbali nipo hapa
Pili dini inaweza kuwa kikwazo mfano mtu anatumia kiti moto wewe hutumui. lazima hapo iwe wazi. Au wewe/yeye ni mlokole pombe marufuku. Weka wazi
Tatu, angalia mtu mwingine aki share baada ya muda wanakuja ndugu kibao, mie kwa ushauri ungetafuta studio house (chumba na sebule na choo) zipo tu kwa bei ya 90,000.
Nne mwenye nyumba sidhani kama anaruhusu sub lease.
 
Nyumba ina vyumba 2 vya kulala, Sitting room,jiko na toilet with bathroom ndani...mimi natumia bedroom moja na siting room
Wakuu muwe mnaangalia na thread ya mwaka gani, 2013 hadi leo niko kwangu tayari
 
Nyumba haina hata location? ???au iko humu humu jamii forum???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom