Nahitaji mtu wa kuanzisha naye biashara

Nahitaji mtu wa kuanzisha naye biashara

maxfernandes kuna tofauti kati ya "kuanzisha na" na "kushea na"

Issue ya serious kama hii andika vizuri. Uandishi utakukosesha hitaji lako.

Mtu mwingine akishaona uandishi huu hata kama anaweza kukusaidia atapita mbali
Ni tatizo la mfumo wa elimu yetu...unatujenga kuwa wavivu kujieleza.

Ishu ya maswala ya kutia pesa ya maana, halafu mtu aandika sentensi moja tu tena haina kituo kikubwa. Kisha ategemea mtu makini atie pesa yake ktk biashara hiyo.
 
Back
Top Bottom