Nahitaji mtu wa IT/ computer science kwa kazi ya siku moja tu

Nahitaji mtu wa IT/ computer science kwa kazi ya siku moja tu

Muislaam

Senior Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
129
Reaction score
43
Habari nipo, Chanika Dar es Salaam, kuna computer zangu mbili zinagoma kuwaka.Nataka kwa atakayenitengenezea kwa bei nafuu.
Nipigie kwa 0714306015
 
- toa maelezo kwa ufupi umenunua zikiwa haziwaki
- zilikua na tatizo unalolijua mpaka kufikia hatua hiyo?
 
Habari nipo, Chanika Dar es Salaam, kuna computer zangu mbili zinagoma kuwaka.Nataka kwa atakayenitengenezea kwa bei nafuu.
Nipigie kwa 0714306015
Nimempa namba yako mdogo wangu atakupigia, anaishi hapo chanika pia
 
Back
Top Bottom