Meridah Tough
Senior Member
- Nov 27, 2017
- 136
- 365
Mwenzangu hana shida, ana mtoto wa ujanani ingawa ni mtumiaji sana wa pombe na sigara.Umeolewa?ulienda hospital na mwenza wako?kama mlienda naye majibu naye kwa upande wake yakoje?
Mwenzangu hana shida, ana mtoto wa ujanani ingawa ni mtumiaji sana wa pombe na sigara.
Meridah Tough Ushamaliza Chuo? Njoo PM....Habari wanajukwaa?
Ni muda wa mwaka miezi kama sita hivi tokea nilipoanza kutafuta mtoto pasipo mafanikio. Nilijaribu kwenda kwa daktari, akaniambia sina tatizo lolote lakini nina uvimbe kidogo katika mayai yangu, hivyo, alinipatia dawa na niliitumia lakini bado sijafanikiwa kupata mtoto.
Kama kuna hospitali yoyote ambayo imejikita kwa watu wenye matatizo kama yangu au kama kuna dawa zozote za asili mtu anayezifahamu tafadhali naomba tusaidiane.
Nawasilisha.
Una uhakika gani kuwa huyo mtoto ni wake kweli na hakubambikiwa?Mwenzangu hana shida, ana mtoto wa ujanani ingawa ni mtumiaji sana wa pombe na sigara.
Habari wanajukwaa?
Ni muda wa mwaka miezi kama sita hivi tokea nilipoanza kutafuta mtoto pasipo mafanikio. Nilijaribu kwenda kwa daktari, akaniambia sina tatizo lolote lakini nina uvimbe kidogo katika mayai yangu, hivyo, alinipatia dawa na niliitumia lakini bado sijafanikiwa kupata mtoto.
Kama kuna hospitali yoyote ambayo imejikita kwa watu wenye matatizo kama yangu au kama kuna dawa zozote za asili mtu anayezifahamu tafadhali naomba tusaidiane.
Nawasilisha.
Pole jaribu tena hospitali tofauti na pia kwenye hospitali za mitishamba(herbal clinics) unaweza ukapata suluhu, ikishindikana huko angalia upande wa pili uwezi jua labda kuna mambo hayaendi sawa husda na vijicho pia wanadamu sio wema.Habari wanajukwaa?
Ni muda wa mwaka miezi kama sita hivi tokea nilipoanza kutafuta mtoto pasipo mafanikio. Nilijaribu kwenda kwa daktari, akaniambia sina tatizo lolote lakini nina uvimbe kidogo katika mayai yangu, hivyo, alinipatia dawa na niliitumia lakini bado sijafanikiwa kupata mtoto.
Kama kuna hospitali yoyote ambayo imejikita kwa watu wenye matatizo kama yangu au kama kuna dawa zozote za asili mtu anayezifahamu tafadhali naomba tusaidiane.
Nawasilisha.
Nipe mawasiliano yako nitakuelekeza utasaidiwa tatizo lakoHabari wanajukwaa?
Ni muda wa mwaka miezi kama sita hivi tokea nilipoanza kutafuta mtoto pasipo mafanikio. Nilijaribu kwenda kwa daktari, akaniambia sina tatizo lolote lakini nina uvimbe kidogo katika mayai yangu, hivyo, alinipatia dawa na niliitumia lakini bado sijafanikiwa kupata mtoto.
Kama kuna hospitali yoyote ambayo imejikita kwa watu wenye matatizo kama yangu au kama kuna dawa zozote za asili mtu anayezifahamu tafadhali naomba tusaidiane.
Nawasilisha.
Hafichi jamani yupo anayemwachia nadhani hawezi kumfunulia kila mtu[emoji46]"MFICHA UCHI HAZAI!"
Nitumie namba yako PM kama bado unatatizo ni uhakika kuna ndugu yangu kapona kazaa tatzo lilikuwa kama lako ila tiba ya asiri nitumie namba yako PMHabari wanajukwaa?