Kiongozi nimechelewa kuingia humu leo na kuona ujumbe wako, anyway offer yangu ni Tsh 950 kwa kilo mwisho 980 tufanye biashara.. tunavoongea nimetuma vijana wanasakanya dodoma vijijini kwa 950 na nimekusanya kiasi flani. Shukran kwa reply
Aise nmekuelewa mkuu mshangao wako, ukiweka ushuru, kusafisha na ku rebag mifuko, usafiri hadi ICD dar kila kitu nimepata kwa Tsh 1190 kwa kilo! Bado haifai?