Nahitaji Mtama (Sorghum) tani 70

Nahitaji Mtama (Sorghum) tani 70

Archnemesis 2-0

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2024
Posts
916
Reaction score
1,718
Habari Wakuu, naomba mfanya biashara wa nafaka tupatane tufanye biashara ya mtama.. requirement kwanzia walau tani 40 kwenda juu..

Asanteni.
 
Nina gunia 4 ya mtama mweupe. Uko wapi mkuu na gunia unanunua kwa shngapi
 
Niko dar mkuu, kilo 950 kiongozi na we uko wap au tuongee PM?
 
Mbona hutoi taarifa kwa kina? Una itaji mtama aina gani, una patikana wapi, unalipa kiasi gani kwa kilogram, mawasiliano yako?

Zipo tani 7 za mtama ule mwekundu, ziko Mwanza njoo uchukue mwenyewe, bei ni 1,800 kwa kilogram.
 
yeye ananunua 950 na yupo dar..haya maajab
 
Kiongozi nimechelewa kuingia humu leo na kuona ujumbe wako, anyway offer yangu ni Tsh 950 kwa kilo mwisho 980 tufanye biashara.. tunavoongea nimetuma vijana wanasakanya dodoma vijijini kwa 950 na nimekusanya kiasi flani. Shukran kwa reply
 
yeye ananunua 950 na yupo dar..haya maajab
Aise nmekuelewa mkuu mshangao wako, ukiweka ushuru, kusafisha na ku rebag mifuko, usafiri hadi ICD dar kila kitu nimepata kwa Tsh 1190 kwa kilo! Bado haifai?
 
Back
Top Bottom