alphoncetz
JF-Expert Member
- May 1, 2011
- 280
- 50
mwambie. mambo ya PM sijui na kupiga simu.. dah.. au basi aangalie threads atawaona wataalamu, hawajifichi awaPM yeye :biggrinwe taja vitu unavotaka kwenye logo utatengenezewa hata 10 humu humu
hi everybody!
Nahitaji kutengeneza logo kwa ajili ya kazi yangu.
Yoyote anjejua kutengeneza nice-looking logo ni pm au nipigie nikupe maelekezo
will pay something on it
0767659145
we taja vitu unavotaka kwenye logo utatengenezewa hata 10 humu humu
me naombeni tu msaada wa logo pia.nataka iwe na picha ya za vyakula hasa burger ,sandwich hot dogs n so kwa ajili ya kubandikia kwenye kibanda changu cha kuuzia burger
tangaza dau tu uone mambo yatakavyokuwa fasta
siku zote dau linaendana na sample we onesha sampuli uone atasemaje..