Mwanaume hutakiNatafuta msichana wa kazi za ndani, mkoa ni Dar es salaam tabata mwananchi
Awe anajua kupika
Kufua
Na usafi wa nyumba kwa ujumla
Ningempata hata kesho ingekua vizuri zaidi.
Plz njoo pm tuongee
Nimeshapata tayar, asanteMm nahitaj iyo kaz
Natafuta msichana wa kazi za ndani, mkoa ni Dar es salaam tabata mwananchi
Awe anajua kupika
Kufua
Na usafi wa nyumba kwa ujumla
Ningempata hata kesho ingekua vizuri zaidi.
Plz njoo pm tuongee
Nini maana ya Msichana au unajitoa ufahamu!!?Mwanaume hutaki