Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

Hebu weka hapa fisabiliti analisis ya hii fursa
inshort Biashara ya Uwakika Hii Ndio imenifikisha Hapo
Kutengeneza na Kumiliki Ofisi Yangu Hyo kwaatakae Wiwa Kupushi Nilipo ishia kwa kiasi cha milion 3 tukapiga kazi Na yeye atategeneza Faida Kubwa Kwa kile alichoingiza kwa hii Biashara

Apo Soko la uwakika

Tutauza

...Sembe,Dona
.....Pumba
...Mahindi Pia

Ziada ni kwamba Bdo Tutahudumia na Wateja Wa Kawaida wanao kuja na Mizigo yao hvo Mapato Hayo bdo yatatuinua zaid kwenye kukuza Biashara Ya Usindikaji na Kupambana kwa SOKO la Unga(Sembe) hvo Mwekezaji Kuona Pesa yake ipo salama aliyo wekeza na anaona Kutengenezwa kwa faida zaid ya alichowekeza Ahsanten Karibun Singida
 
Mkuu mbona umeshafanya sehemy kubwa sana zaidi ya Milioni 12 hapo si upambane hiyo 3M mbona ndogo wako?
 
Pamoja na yote lakn hujasema unapatokana wapi

Weka vitu waz watu watembelee eneo lako wajionee wenyewe tuwaulize wanakifahamu historia yako ipoje

Hakuna pesa ya kujuana tu mtandon et uweke namba ya simu inatosha
Nadhani kaweka namna ya simu ili kwa ambae atakuwa interested amcheki wazungz
Bongo partnership pasua kichwa sana
All the best
 
Sasa kama shida yake ni milioni 3 si akachukue hata kausha damu ili aendelee kivyakevyake? Kuliko kuja kusumbua watu huku! Inaonekana huyu mwamba akifanikiwa kulipia huo umeme hachelewi kukutimua na kukurudishia ka hela kako!
 
Tapeli huyu siamini hata ndugu zake kama hawana hiyo 3m ya kumuazima
 
Anaraisisha vitu alafu baadae watu wanaanza kulogana kisa biashara imesimama mswahili akawii kusahau wap ametoka
Sasa watuu wataweka details zote hapa? Terms ni kati yake yeye na mwekezaji ambaye atakuwa yuko tayari, watakaa chini watajadili namna nzuri ya kufanya.
 
Sasa watuu wataweka details zote hapa? Terms ni kati yake yeye na mwekezaji ambaye atakuwa yuko tayari, watakaa chini watajadili namna nzuri ya kufanya.

Ahsante Kunielewa But Kuna walio Jitokeza Nimewasiliana nao Japo Hawajafika milion 3 hvo Sina Tamaa na Pesa Ya Mtu ila Nina nia ya kufany kazi na mtu ndo man nimekataa hyo chin ya milion 3
 
Tapeli huyu siamini hata ndugu zake kama hawana hiyo 3m ya kumuazima
Ahsante Kwa Kufikiria hvo
ila nitaenda na alie Siriazi katika hili Hakuna cha Tapeli Hapa Ndugu Usinichafue Kijana Wa Watu🙏
 
Sasa kama shida yake ni milioni 3 si akachukue hata kausha damu ili aendelee kivyakevyake? Kuliko kuja kusumbua watu huku! Inaonekana huyu mwamba akifanikiwa kulipia huo umeme hachelewi kukutimua na kukurudishia ka hela kako!

Ni fursa kama Fursa Zingine Nashangaa kuona wew unasema unasumbuliwa Hapa nitasonga na mwenye kunielewa kila kitu maridhiano ndugu
 
Tapeli huyu siamini hata ndugu zake kama hawana hiyo 3m ya kumuazima
Kwa uongeaji wake huyu sio tapeli sema tu ameumiza kichwa na uwezo wake wa kujiongeza umeishia hapo ndio maana akaona njia salama kwake ni kumpata mtu ambaye watashirikiana.
 
Upo Sahihi Kabsa🙏
Ndio hivyo ndugu yangu nimeshakuscan na kukuzoom kuanzia akili yako hadi moyo wako.
Wewe ni aina ya watu fulani hivi ambao sio wabinafsi hupenda kushirikiana na watu wengine kwenye mambo ya kijamii.
Ni watu wanaojihami kutofanya makosa na hofu ya maisha ya mbeleni.
Ni aina ya watu fulani hivi wenye moyo safi na wasiopenda kumkwaza mtu bila sababu.
Kama nimeongopa uniambie
 
Kwa maelezo yako tu wewe unaitajika kupata mkopo au msaada wa 2-4m na sio muwekezaji/mshilika wa biashara
 
Kwa uongeaji wake huyu sio tapeli sema tu ameumiza kichwa na uwezo wake wa kujiongeza umeishia hapo ndio maana akaona njia salama kwake ni kumpata mtu ambaye watashirikiana.

Upo Sahihi Kabsa

Ni kwel yaan me Sio Mbinafsi napenda kushirikian zaid kwa MOYO saafi naamim kushirikian na mtu Ndio Daraja la Kujitengenezea watu Muhimu kweny maisha bila kumkwaza yeyote alie kuzunguk kweny utaftaj wa MAISHA Binafsi najion kijana nina Safar ndefu ya Kuyafikia mafanikio Siitaji Mamb meng kuharib BRAND nipo Kuitengeneza BRAND
 
Uki
ukiachana huo mradi unajihusisha na biashara gani nyingine?
Unaweza kunicheki pm tujadili kwa mapana zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…