mavado
JF-Expert Member
- Jun 25, 2014
- 1,153
- 801
-Husika na kichwa cha habari, nahitaji Msaidizi wa kazi za ndani, ila angalau ajue hesabu kidogo maana nina ka mradi wa kuku wa kisasa, so kuna siku sipo atasaidia kukusanya pesa. so hesabu muhimu.
-Awe anajitambua vyema,
-mshahara maelewano., njoo inbox kwa maelewano zaidi.
-Awe anajitambua vyema,
-mshahara maelewano., njoo inbox kwa maelewano zaidi.