Nahitaji msaada!!

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,228
Reaction score
1,831
Wakuu, Baada ya kuvisit tovuti ya Main Page - Linux Mint na kusoma baadhi ya guide nimeamua ku-install na kuitumia. Lakini kabla ya yote nahitaji ushauri wenu kwanza. Kwa yeyote aliyewahi kuitumia, kuna matatizo yoyote aliyopitia? Je, ni nzuri. How's performance?? Apps nzuri kwa ajili ya hii OS.
NITASHUKURU NIKIPATA MSAADA.
​
 
Linux mint ni nzuri, nice user interface, napenda na mbwembwe zake, it`s awesome, ila unaweza ukapata tabu kidogo kwenye apps, though store yake ina apps nyingi tu.
 
ila unaweza ukapata tabu kidogo kwenye apps, though store yake ina apps nyingi tu.
mkuu fafanua kidogo. nitawezaje kupata taabu. Pia kuna uwezekano wa kupata apps kama za huku MS Windows OS?? Mfano nimesikia kutakuwa na apps mbili kwa kuplay Music, na kati ya hizo vlc itakuwepo. So softwares kama Adobe Reader itakuwepo kwenye Store?
 
Unaweza ukagoogle kuhusu WINE, inawezesha kurun program za windows kwenye linux, lakini from my experience, effeciency yake sio 100%, inazinguaga...
 
Nashukuru sana mkuu. Vipi kuhusu perfomance. Unaionaje?? Je amount gani ya HDD storage itatosha kabisa ku-run, na kuinstall softwares bila ku-affect speed ya PC?? Pia version gani ya hii OS ni nzuri maana nimeona kuna list ya Version nyingi. Pia kuna umuhimu wa kuchukua latest version??
 
My best linux distro is ubuntu, mpaka sasa nishasahau kutumia windows OS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…