Nahitaji msaada

Nahitaji msaada

Joined
Jun 11, 2019
Posts
34
Reaction score
16
Kwenye online application system ya udsm postgraduate ucourses nimekamilisha kila kitu na kuambatanisha kila kitu zikiwemo data na emails za referees. Tatizo, email za udsm zenye referees' forms haziwafikii mareferee wangu. Nilisubmit my application package before deadline. Niki-click sehemu ya 'remind/inform referee',ninapata jibu that an email has been sent to a referee. But, mareferee wangu wote hawarespond email yoyote. Nimekuwa ninarudia ku-click hiyo part mara kwa mara. Nimewatumia email ya kawaida udsm kuhusu hili,but hawjajibu! Nimehakikisha email za referees wangu zote nimeandika kwa usahihi. Wadau, ninaombeni msaada kuhusu hili. Pia kwa wale mlio wai kuapply udsm je hilo laweza kunizia kupata admission letter?
 
Back
Top Bottom