Habari wadau. Mimi nilijiunga na kampuni ya kubet ya 1xbet. Nikawa nimedeposit kisasi cha pesa, nikazalisha kidogo. Sasa nikawa nataka kutoa lakini imeshimdikana. Njia nilizojaribu ni Mastercard na PayPal, zote nimekatatiwa kuwithdraw pesa yangu.
Kama kuna mtu anatumia 1xbet humu naomba anisaidie anatumia njia gani kutoa pesa.
Nashukuruni.
Nashukuru.
Nilifanya hivo ndg, nilitumia bank, 1xbet waliapprove ombi lang la kutoa ila ikawa rejected na bank. Nikawsiliana na bank wakasema sewez kupokea hela kutoka hiyo campuni. Ndg ww kama ni mtumiaje wa 1xbet unatumia payment method ipi