Nahitaji msaada wenu

Ulikuwa umeajiliwa serikalini au private? hatua za kukuachisha kazi zilifuatwa?
 
Muda unazidi kwenda saa sita hii na mpaka sasa sijafanikiwa kupata chochote. Mimi na mama yao tunaweza vumilia huku nikipambana ila kwa watoto ni mateso makubwa sana, nimetoka nyumbani hakuna kitu chochote yaani pako empty. Eeeh Mungu tenda miujiza yako nipate riziki nipate nguvu ya kuendelea kutafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…