Kwa kweli hata mimi nilikuwa nawaza hivyo, ukute huyo sweetheart nanihi yake ni ndogo sana, na kwa sabau mdada huyo ndio mwanaume pekee aliyewahi kumjua atakuwa anadhani ni saizi ya kawaida. Kwa sababu mtu uwe na mahamu 100% halafu kitu kiingie usisikie kitu kweli, hata maumivu basi kama sio raha, ila samahani kwa kushindwa kukupa ushauri dada.