Nina tatizo sugu nahitaji msaada wenu. Mimi ni mdada na nimekulia kwenye familia ya Kikristo sana na hadi namaliza Form 6 simjui mwanaume nimekuja kumpata nikiwa chuoni. sasa nikapata Bf na nikamueleza ukweli sijawahi kukutana na mwanaume sijui yeye hakunielewa ila niliumia sana. Ikafika mahali tukaachana ila tulikuwa tukikutana kimwili hata sioni umuhimu wake. nikapata mwingine ikawa hivyo hivyo, sasa imefikia mahali nina umri mkubwa sana kwa sasa 33 na sijui raha ya kufanya tendo la ndoa imefika mahali nikaenda hospital wanasema sina tatizo lolote. Ninakuwa na hamu kweli ya kuwa na Bf wangu na pia hata tukiwa kitandani ninahamu naye sana ila akiingia tu wala sisikii chochote sijui raha wala nini kama wengine wanavohadithia. Dr mmoja akanishauri nikifika nyumbani nijichezee mwenyewe akanielekeza kweli nilifanya na nikasikia raha sana, tatizo tu nikiwa na mr na ninampenda sana ili kutomkatiza tamaa inabidi nijifanya tayari. Tafadhali nisaidieni maana kama romance anafanya sana na ninakuwa tayari kabisa kuingiliwa na mimi ndo namuomba aingie maana nakuwa nimezidiwa ila cha ajabu akiingia tu hata sisiskii raha ya aina yoyote mpk anamaliza. Hembu nisaidieni na kama unamjua Dr mzuri atakaye weza nitibu nitashukuru. tafadhali msiniponde ndo hali yangu ilivyo nisaidieni.
I guess tatizo lako liko kisaikolojia zaidi!Mawazo yako bado yanabaki kwenye siku ya kwanza ambayo haikutokea kwa hiari yako!!Ukiwa na mtu wako wa sasa hivi jaribu kurelax...ondoa hofu maana inawezekana hua unajiandaa kabisa kua disappointed!So jaribu kutokua na mawazo hasi...mpe mpnz wako nafasi yote kwenye akili yako at the time...jiruhusu kufurahi utaona mabadiliko!!Oh kama ukiendelea kuhitaji kuonana na daktari awe Psychologist na sio wa aina ambayo umeshaonana nayo tayari!Kila la kheri!
Nashukuru Lizzy kwa mchango wako. Nitajitahidi kutokuwa na mawazo nione itakuwaje
Bonge la point
nimeshamtumia.somo heavy nimempa,anipe matokeo tuMtumie Pm ana tatizo mwenzio tena kubwa na ndio maana kaandika humu bila aibu
nimeshamtumia.somo heavy nimempa,anipe matokeo tu
hey DA, kama una maswali wewe ndio umPM na siyo yeye tena, yeye atakuPM nini?Hapo mpendwa huna tatizo lolote ni mawazo yale ya siku ya kwanza tu. Hebu ni PM nikuulize maswali fulani mimi niliwahi kuwa na tatizo km lako
yeah, like this, ndio msaada huu, sio mtoa mada tena akuPMPole sana!nitaku PM.
Nina tatizo sugu nahitaji msaada wenu. Mimi ni mdada na nimekulia kwenye familia ya Kikristo sana na hadi namaliza Form 6 simjui mwanaume nimekuja kumpata nikiwa chuoni. sasa nikapata Bf na nikamueleza ukweli sijawahi kukutana na mwanaume sijui yeye hakunielewa ila niliumia sana. Ikafika mahali tukaachana ila tulikuwa tukikutana kimwili hata sioni umuhimu wake. nikapata mwingine ikawa hivyo hivyo, sasa imefikia mahali nina umri mkubwa sana kwa sasa 33 na sijui raha ya kufanya tendo la ndoa imefika mahali nikaenda hospital wanasema sina tatizo lolote. Ninakuwa na hamu kweli ya kuwa na Bf wangu na pia hata tukiwa kitandani ninahamu naye sana ila akiingia tu wala sisikii chochote sijui raha wala nini kama wengine wanavohadithia. Dr mmoja akanishauri nikifika nyumbani nijichezee mwenyewe akanielekeza kweli nilifanya na nikasikia raha sana, tatizo tu nikiwa na mr na ninampenda sana ili kutomkatiza tamaa inabidi nijifanya tayari. Tafadhali nisaidieni maana kama romance anafanya sana na ninakuwa tayari kabisa kuingiliwa na mimi ndo namuomba aingie maana nakuwa nimezidiwa ila cha ajabu akiingia tu hata sisiskii raha ya aina yoyote mpk anamaliza. Hembu nisaidieni na kama unamjua Dr mzuri atakaye weza nitibu nitashukuru. tafadhali msiniponde ndo hali yangu ilivyo nisaidieni.
Guilty conscience may be!?? n u r not yet married..mpaka 33, unagawa bado unasubiria ku-enjoy!?????????????????????????????
Hamna hajapata tu mzizimaji wa uhakika, na nyie wanaume ukikuta ambae hana maujuzi, kidogo tu utasikia hidhoooo, tayari kamaliza, au vile sekunde mbili tu tayari hapo hakuna cha raha wala nini.
Hajapata mchumba
Guilty conscience may be!?? n u r not yet married..mpaka 33, unagawa bado unasubiria ku-enjoy!?????????????????????????????
Pole sana dada yangu kwa yote,kinachokuharibia ni kumbukumbu ile ya kwanza,jaribu kumtafuta Dr Nelson ambaye huwa anakipindi R F A na STAR TV,oficni kwake huwa uwanja wa nyamagana MZA,atakusaidia tu,amesaidia watu wengi wenye matatzo kama yako,nakuombea upone ili ufaidi raha za cta kwa cta,mi ni hayo tu.
Nashukuru kwa ushauri wako rafiki nafikiri hili ndo tatizo haswaaaa. Maana kusema ukweli naona natenda dhambi. Mungu nisaidie nipate wa kwangu niweze ku enjoy.Si ndo hapo..na bado anaendelea kumegwa tu kishkaji! sasa uta-enjoy how wakati malezi ya Kikristo ni hakuna ngono mpaka ndoa!?? Dada, ulifanyallo we wajua ni dhmabi..hivyo huna uhuru wala raha wakati unapofanya since all memories of what you were taught zinakuja!!!
Hebu tulia, umpate mumeo..uone kama hutaenjoy tendo hilo...it was meant for that time! after that ukija kusema kwamba bado huna raha, then..and only then will I consider it a psychological problem.
Otherwise,..fuata shauri za wengine hapo juu but mimi najua what u said first holds the whole truth!
Ubarikiwe...