Kama unaongelea certification za CISCO basi hii haijalishi unaipata wapi inatungwa na CISCO na unatahiniwa kwa computer kwenye certified testing centers bongo kuna ya mlimani ucc, techno brain na nyingine moja nimesahau. Kama unataka ufundishwe kwanza hapi ndo kuna tofauti ya ubora.