Nahitaji msaada wenu wa hali na mali

Nahitaji msaada wenu wa hali na mali

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
408
Reaction score
182
Ndugu zangu wana jf na wasio jf members leo najitokeza kwenu kivingine kabsa. Nashida na shilingi mil 3 kwa yoyote mwenye uwezo na nia ya dhati naomba anikopeshe kwa masharti tutayokubaliana. Mkopo nauhitaji kwa ajili ya shughuli zangu za ujasiriamali(kibiashara). Tatumia vyeti vyangu vyote kuanzia sekondari mpaka chuo pamoja na leseni kama bond kwa mkopeshaji. Ndugu zangu nahitaji sana huu mkopo naomba umpe taarifa na mwenzako ambaye unahisi kwa namna fulani anaweza nisaidia japokuwa sio member pia kama kuna taasisi ambayo inaweza nipa mkopo kwa vigezo nilivyonavyo naomba unitajie. Mods nawaombeni sana hii post msiitoe na muipost mpaka jf facebook page. Kwa yoyote ambaye yupo tayari ani pm au ushokola2002@gmail.com pia napokea ushauri.
 
Kaka utaratibu huo nadhani hapa kwetu haujafika hivyo tumia zilizopo uweze kupata Mkopo huo.
Naamini ukiwa na ardhi itaweza kukusaidia ukapata unachotaka.
NB: Mabenki yetu riba nayo ni balaaa! Hivyo kabla hujajaribu kuigusa benki hakikisha wanakupa shule ya kutosha.
 
Back
Top Bottom