muvika online
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 374
- 283
Nimeisha fanya hivyo ndugu lakin majib ni 0 siku ya 4 sasaMala nyingine fanya mawasiliano na wao wakuruhusu Kuna setting za nameserver inatakiwa udirect, wapigie godday wakupe support
upande wa godaddy ni kupoint tu nameserver umeshazieka? hio server yako haina nameserver?Nimeisha fanya hivyo ndugu lakin majib ni 0 siku ya 4 sasa
nadhani inayo coz mal ya kwanza site ilikuwa hewani lakini ilikuja kutoka pale ambapo nilisitisha malipo so imenilazimu ni nunue tena server nyingine so nahitaji kupoint na kufanya cofiguration ya server ili eweze kupiga kaziupande wa godaddy ni kupoint tu nameserver umeshazieka? hio server yako haina nameserver?
unaweza nisaidia tatizo hilo auA record weka IP ya vps yako
Pole san kak..! Ktk Account Management Panel(AMP) y domain registrar weka nameservers za hosting provider wako..! Who is the VPS provider..?Habari wana JF,
Siku ya tatu leo naangaika jinsi ya kuweza ku point domain yangu iweze kuendana na server yangu ila nimeshindwa nahitaji msaada kwa hilo please domain nimenunua godady na server nimenunua hostus.us nawakilisha hili jamvini najua wana web developer mpo humu naomba msaada juu ya hilo na jinsi ya kufanya configuration ya server, Asante
0743497079
Hostus.usPole san kak..! Ktk Account Management Panel(AMP) y domain registrar weka nameservers za hosting provider wako..! Who is the VPS provider..?
Kak , ni PM tu schedule for remote assistance ili niwez resolve this issue once and for all.nadhani inayo coz mal ya kwanza site ilikuwa hewani lakini ilikuja kutoka pale ambapo nilisitisha malipo so imenilazimu ni nunue tena server nyingine so nahitaji kupoint na kufanya cofiguration ya server ili eweze kupiga kazi
kaka subdomain tarari zipo tatizo lipo wenye kuweka IP Coz kwenye server yangu kuna Ip 2 tu Pv4 na Pv4 basi sasa sijajua nitazijaza wapi nashidwa nifanyeje Naomba unieleweshe step by step
Nitakutafuta Bro0719658086
Wasiliana na ulikonunua domain hosting yaani hostus.com wakupe ip address na primary and secondary name servers zao. Kisha chukua hizo taarifa wapatie godady watakusetia wao.Habari wana JF,
Siku ya tatu leo naangaika jinsi ya kuweza ku point domain yangu iweze kuendana na server yangu ila nimeshindwa nahitaji msaada kwa hilo please domain nimenunua godady na server nimenunua hostus.us nawakilisha hili jamvini najua wana web developer mpo humu naomba msaada juu ya hilo na jinsi ya kufanya configuration ya server, Asante
0743497079
Nikweli mkuu nimeligundua hilo jambo baada ya kupost. Nilikuwa sijasoma post zake zote hasa zile ulizokuwa unajaribu kumpa msaada.Vps aliyochukua ni unmanaged meaning setting zote afanye mwenyewe. IP address amepewa dedicated, anahitajika atengeneze custom name server zake
Ndo hiyo mkuuNikweli mkuu nimeligundua hilo jambo baada ya kupost. Nilikuwa sijasoma post zake zote hasa zile ulizokuwa unajaribu kumpa msaada.
Sorry naomba nikuulize hapo hivi webserver ni nini na inadeals na kutengeneza nini, labda ikanipendeza na kuitakaSolved. Kwa mahitaji ya webserver configuration, mail server, mysql server, servers installation and set up, Windows, Linux, 0719658086
Hoo na hiyo mysql ina kazi ipiNiliyokusetia ni webserver
msaada wa free vps nivp nitaipataHoo na hiyo mysql ina kazi ipi
msaada wa free vps nivp nitaipataSolved. Kwa mahitaji ya webserver configuration, mail server, mysql server, servers installation and set up, Windows, Linux, 0719658086