Nahitaji Msaada wako Mwana Jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji Msaada wako Mwana Jf

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Aleyn, Apr 26, 2012.

 1. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,671
  Trophy Points: 280
  Habari MwanaJF,Nikifungua Internet Explorer,Mozira Firefox n.k huwa zinakataa kunipa Internet ila leo nimegundua ktk Program hizi kuna mahali ambapo kuna vinara vipo vitatu(3) vinaashiriwa kwa rangi ya KIJANI,vinara hv kwangu vimefutika yaani alama ya kijani hakuna. Na nikiclick inadai "CAST YOUR VOTE" na upande mwingine inasema "This site has no rating".
  NAHITAJI MSAADA WAKO MwanaJF
   
 2. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,671
  Trophy Points: 280
  Mbona kimya?
   
 3. dlink

  dlink Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15

  SOLUTION
  Jaribu kutoa screen shots zake tuone,
  but initially i can say hapo nenda kwny Internet Explorer >>Settings>>Advancd>> Browsing>>>Make sure ipo marked kwenye kila tab.
   
 4. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,671
  Trophy Points: 280
  nimejaribu lakini imekataa.samahani kwa usumbufu.
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nita kuuliza baadhi ya maswali

  Unatuamia antivirus gani ? Huo ujumbe This site has No rating inaweza isiwe issue ya msingi. Kuna baadhi ya antivirus zinakupa info tu kuwa site fulani ni trusted kutokanana kura za watembeleaji. Sasa unaweza temebelea jamiiforum ikawa haina rating sababu watanzania wengi ambao ndiowanatimua hawajatoa rating zaoza jf kwenye hiyo antivirus.

  Je unakosa internet hata ukitembelea tovuti kama google,yahoo au kwa baadhi?

  kwenye DOS run command hizi
  • ipcofig / all ukiona detail za IP za DHCP na DNS server kama haizpo basi tatizo sio browser.tatizo ni set up ya internet yako
  • Ping jamiiiforums.com -t hapa ukipata reply then setup itakuwa ipo sawa may be tatizo utakuwa na kirusi au malware kiichobadiisha baadhi ya vitu kwenye brwoser zako.

  lete feedback
   
 6. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,671
  Trophy Points: 280
  Natumia Avast Anti Virus,ushauri wako sijauelewa vizuri Mkuu.
   
Loading...