Nahitaji msaada wa vifaa vya shule

Nahitaji msaada wa vifaa vya shule

mgisho

Member
Joined
Nov 27, 2018
Posts
8
Reaction score
1
Wadau nahitaji msaada wa vifaa vya shule kama meza, viti. Lakini sifahamu jinsi ya kuandika ili nifanikidhe. Anayafahamu jinsi ya kuandika proposal hiyo anielekeze tafafhari
 
Wasiliana na DAB nasikia makontena yake yana viti,meza,sofa,laptops kwa ajili ya mambo ya elimu.
Mwambie akusaidie bure maana amepewa msaada na diasporas!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom