Wewe ndo umepotea mkuu!! Hayo mambo ya kumtegemea mungu yana wenyewe! Amekwambia hakuna mchungaji alie faulu pia imani yake kwa hayo maswala ya kimungu imepotea we unamwambia at aendelee kumuamini et atapona! Nimeona watu wengi wa mawazo yako wakiteseka kwa mda mrefu xana na wengine hufikia mpaka kifo kwa matatizo ambayo mengine huweza tatulika kwa akili tu za kibinadamu na njia nyingine nyingine! Kiukwel mungu wao huwa sijui hawaoni wakiteseka maana huwa wanateseka xana!Omba sana huko unapotaka kwenda ndo utapotea zaidi. Fanya ibada tuliza kichwa kua positive huyo aliekuzingua achana nae endelea na maisha ukimtegemea Mungu
Mzee was kulog off upo? Ulipotea Sana mkubwaWachawi wanaknloga wakati English iko tele kichwani?
Nalog off
Nipo Kaká nimekuja kuomba kuraMzee was kulog off upo? Ulipotea Sana mkubwa
jamaa, nilikoseshwa ajira na aliyeniroga ingawa sasa najichumia ya kujitumaUkipuliza bangi, uku una stress za ajila hii ndo lugha unayoandika, pole Mkuu.
Haya mambo nayaongelea kwa experience situation kama yake na mimi ilinikuta mwaka jana ........kwenda kwa wachungaji haisaidii kama wewe mwenyewe ndani Imani imekufa......hata mimi tulizunguka huko kwa wachungaji karibia wote walishindwa na hio ni kutokana na mimi mwenyewe sikua mtu wa imani kabisa.........kabla ya hilo tukio hata kwenda kanisani ilikua kwa shida........baadae nikapata muamko kutoka ndani yangu mwenyewe na wala sio kwenda kwa wachungaji.......mimi ni mkatoliki nikaanza rozali kila siku na novena baadhi ya siku na nilikua nasali kutoka moyoni kabisa nikiamini....baada ya muda mambo yakaanza kukaa sawa na pia inabidi uweze ku control mawazo yako sana usifikirie mavitu negative kwa sana mda mwingi jaribu kujiweka katika hali ya kua positive maana kama alivyosema namna unavyowaza ndo hayo majini pia unaweza ukayaongezea nguvu ama kuyapunguza......mimi nilitupiwa majini mwaka jana kwa ugomvi tu wa kwenye biashara na mpaka nikawa sawa sikumjua mganga yeyoteWewe ndo umepotea mkuu!! Hayo mambo ya kumtegemea mungu yana wenyewe! Amekwambia hakuna mchungaji alie faulu pia imani yake kwa hayo maswala ya kimungu imepotea we unamwambia at aendelee kumuamini et atapona! Nimeona watu wengi wa mawazo yako wakiteseka kwa mda mrefu xana na wengine hufikia mpaka kifo kwa matatizo ambayo mengine huweza tatulika kwa akili tu za kibinadamu na njia nyingine nyingine! Kiukwel mungu wao huwa sijui hawaoni wakiteseka maana huwa wanateseka xana!
Axa mtu unakuta kapatwa na tatizo akiwa angali kijana tuseme kwenye umri wa miaka 25 kwa kumtegemea kwake mungu kama mkombozi wa matatizo yake unakuta anagotta 70 still bado ana lilelile tatizo linamsumbua kwa umri kama huu! Anakuwa ame expire maana hawezi fanya mambo kama vijana wafanyavyo hata endapi akipona katika umri huu hakutakuwa na maana yeyote maana bado ataendelea kuwa tegemezi. Sasa unakuja kujiuliza iv huyu mtu angelikwenda kutumia njia flani ya utatuzi wa tatizo tangu alipokumbwa na hili si angekuwa kesha pona wakati alipokuwa kijana?
Na mpaka sasa angekuwa kesha fanya mambo mengi sana katika ujana wake ikiwamo maendeleo ya kimaisha xaxa huku uzeeni mungu anaemwabudu alikusudia kitu gani kumponya wakati huu!? Wakati huo huo biblia inasema yeye ni wa kututakia mema siku zote. My point ni kwamba mwache kamanda aendelee fightia njia mbadala kutatua tatizo na naamini atafanikiwa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wachawi wanaknloga wakati English iko tele kichwani?
Nalog off
[emoji23][emoji23][emoji23]Story za uchawi zinanoga zikielezewa kwa kiswahili... Usijifanye harry porter