Asante sana kaka,kuna mazungumzo ya simu kwa mkewe diwani akinitahadharisha juu ya usalama wangu kwavile baada ya kuchochewa nayule bwana muuza duka ladawa mumewe alienda kumuwashia moto ndio akanipiga kupitia namba ngeniHama eneo watakuuwa bure , na baada ya kifo chako ndio watafanya uchunguzi sasa.
Ila utahama hadi lini
ebu kaa tu , afu ureport na ngazi zingine ikiwemo kuelezea wasiwasi wako wa kutaka kuhama kwa wakubwa wako kazini
Sikumuona ila waliowaona wanasimulia kua walitumwa na diwani kuja kuniua kwa kunichoma kwa moto.na voice notes zipo nawashaenda kuhojiwa ila nashangaa wapo tu mtaani wanakula maisha kusema ukweli nishaenda kuomba kuhamia SEHEMU ingine kwa DMOAliyewasha moto ulimuona??
Hapa imenibidi niende ofisi ya upelelezi wilaya kuelezea wasiwasi wangu ila naona wako slow au ndio mimi sielewi elewi gani nilitegemea hili suala lichukuliwe uzito wahali ya juu ila naona wako relactant sana .Hama eneo watakuuwa bure , na baada ya kifo chako ndio watafanya uchunguzi sasa.
Ila utahama hadi lini
ebu kaa tu , afu ureport na ngazi zingine ikiwemo kuelezea wasiwasi wako wa kutaka kuhama kwa wakubwa wako kazini
Mke wa diwani namba yake inafanya nini kwenye simu Yako nyoosha maelezo kama unamkula au la tukushauri.Asante sana kaka,kuna mazungumzo ya simu kwa mkewe diwani akinitahadharisha juu ya usalama wangu kwavile baada ya kuchochewa nayule bwana muuza duka ladawa mumewe alienda kumuwashia moto ndio akanipiga kupitia namba ngeni
Hizi tahadhari nikabla ya tukio lenyewe.
Uzito upi bila ushahidi wa vihelelezo.Hapa imenibidi niende ofisi ya upelelezi wilaya kuelezea wasiwasi wangu ila naona wako slow au ndio mimi sielewi elewi gani nilitegemea hili suala lichukuliwe uzito wahali ya juu ila naona wako relactant sana .
Hili ndiyo jibu, aondoke huko, uoga nao akili aache muuza phamacy aendelee kula vichwa ππππPole. Hapo tafuta Uhamisho ndugu uhame. Huko kuna watu wana roho mbaya mno.
Lindi ni home land
Hama kituo mkuu wakazi wa Lindi wana roho mbaya sana ndio maana umasikini umewajaaMm nimtumishi wa umma katika idara ya afya, miezi sita nyuma nilihamia katika kata moja maeneo ya mkoa wa lindi kutumikia wananchi.
Sasa katika utoaji wa huduma eneo nilipangiwa kikazi kama incharge wakituo husika, huduma zikapendwa nawananchi kiasi cha kupelekea kushuka mapato katika moja ya duka ladawa la mtubinafsi lililokaribu na eneo langu la kazi.
Jambo ambalo lilipelekea chuki kwa bwana huyo kuwepo dhidi yangu, huyo bwana akanitengenezea scandle yakua nnatembea na mke wa diwani jambo ambalo sikuwahi kulifanya wala kujihusisha nalo, ilikua mwezi wapili tr10/02/2024 nakumbuka ilikua mechi ya Afcon mshindi wa tatu kati ya Kongo drc na south Africa.
Baada ya mechi nikarudi kulala majira kama ya sasita kabla usingizi haujanikamata vyema niliona moto mkubwa uliowashwa kwa mafuta ya petrol uliowashwa kwenye dirisha la chumba changu, na NONDO yenye lengo la kunichoma ila nikapiga kelele na kuwahi kuzima moto ,kisha kuamsha majirani baadae watu wengi wakakusanyika kwenye eneo la tukio, asubuhi ya tr 11/02/24 police walikuja pamoja na uongozi wa kata kuchukua maelezo na pia kufanya mkutano na wananchi.
Kwasasa suala hilo baada ya mm mwenyewe kulipeleka police kumekua na mazingira ya mdororo wa shauri langu huko police,naona kama wahusika wametoa rushwa ikiwa ni pamoja na kuwaona watuhumiwa wakidhurula tu mtaani bila ya kukamatwa nakwamba jambo langu linaonekana kutotiliwa nguvu.
Nimejaribu kwenda kwa mkuu wa kituo OCS anaonekana kunikalipia nakuniambia kua mnazingua nnaleta Majungu sasa naona kabisa suala hili ambalo nadhani nijaribio la mauaji dhidi yangu,nifanye hatua gani kuweza kupata haki yangu.
Naomba nisamehewe kwa uandishi mbovu.
Aisee pole SanaMm nimtumishi wa umma katika idara ya afya, miezi sita nyuma nilihamia katika kata moja maeneo ya mkoa wa lindi kutumikia wananchi.