Habari zenu binafsi wakuu. Nimepoteza leseni leo jioni na nataka kwenda kufuatilia leseni nyingine kesho. nahitaji kujua process ya kufata na vitu muhimu nnavyotakiwa kuwa navyo.
straight nenda tra upande wa leseni ukiwa na kitambulisho chochote na tin number then taarifa zako zote zipo kule do it, ila usiache kutembea na pesa kidogo