Nahitaji msaada wa haraka kuhusu ujauzito wangu

miss nuru

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
513
190
Jamani nilikujaga na uzii humu kuwa sipati mimba, sasa nashukuru nimepata ina mwezi mmoja, tatizo nikifanya kazi kidogo tumbo linauma damu inatoka kidogo.

Nikaambiwa nilale sasa ninavyolala siumii ila nikijitingisha naumia halafu damu inatoka kidogo..
 
miss nuru Mambo mengine ni very sensitive, huhitaji hata kuja hapa JF tukushauri cha kufanya, hizo ni dalili hatari za ujauzito, nenda kamuone specialist wa magonjwa ya wanawake
 
Last edited by a moderator:
JF isiwapotoshe kwa sensitive cases kama hivyo nenda kwa wataalamu wa shida husika
 
weka picha tuone hapo ambapo damu inatokea,.yaani hata dalili za hatari kwa ujauzito huzijui,unapataje muda wa kuandika hapa badala ya kwenda hospital ukaonana na wataalamu physically ili usaidiwe!
 
uzuri JF hua tunataka picha kwa ushaihi sasa mkuu hapo juu anakwambia weka picha waone hapo damu inapotokea usibishe. Nenda hospital tu
 
Jaman msinielewe vibaya jana wakat naandika nilikuwa nimepanic kiukweli mpaka nakuja kwenu tayar nilikuwa nishaenda hospi ila sukupata huduma sababu Dr Wangu hayupo mopaka jmos wao wakawa wanashaur niingie kwa Dr yeyote nikakataa coz niliwah pata mimba nikaenda kwa Dr Hawa wa kawaida wakaniambia nisafishwe wakat najuandaa kusafishwa akaja Dr wangy nilipomuelezea shida akanipima akasema mimba bado ipo kinacgohitajuka ni dawa tu ili isitoke kwa hiyo naogopa kukutana na Dr tu ilimrad Larkin nashukuru Jana mume Wangu aliongea na Dr wa muhimbuli akapewa dawa naendelea vizur
 
miss nuru Mambo mengine ni very sensitive, huhitaji hata kuja hapa JF tukushauri cha kufanya, hizo ni dalili hatari za ujauzito, nenda kamuone specialist wa magonjwa ya wanawake

Asante kwa ushaur mungu awabiriki sana
 
Last edited by a moderator:
miss nuru Mambo mengine ni very sensitive, huhitaji hata kuja hapa JF tukushauri cha kufanya, hizo ni dalili hatari za ujauzito, nenda kamuone specialist wa magonjwa ya wanawake

My sister hurry up to see specialist, vitu vngne hakuna haja y expose hapa jf. Pole u wl b fn
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom