Nahitaji msaada, mke wa mtu ananiganda

Y for yas

eat yas and yas mixx
 
Mgandee mumeweee msaada wangu wa mwishoo

Mengine siriyenu
 
Msaada pekee naoweza kukupa ni ushauri wa kuwa na msimamo matusi hayatasaidia, hayo ni kama mapepo hata uyatukane hayasikii akiendelea panga siku mkutane halafu mtaarifu na mme wake mwende pamoja.
 
Daaah kweli kabisa hata mimi ujanja wangu wote huu silagi mke wa mtu...

Nakula mashangazi na single maza ila.mke wa mtu naogopa sana


Ila wewe ni mzembe
Ila wewe ni mzembe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We ni mzima kweli unahama mtaa kisa mwanamke anataka uichape?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…