Nahitaji Msaada. Mchumba wangu kaniathiri mpaka kwenye Tendo la ndoa. Hali yangu ni mbaya

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,465
23,732
Leo tu asubuhi nlipost hii. Hapa ndo mapenzi yanapokuwa magumu, mchumba wangu jamaa zangu 3 walishawahi kutoka naye

Naona kama hali yangu ni mbaya kisaikolojia. Leo niliwah kutoka kazini maana sijisikii vizuri kabisa. Mwenzangu akanipigia simu nikamwambia nipo home. Mida ya saa 10 naye akaja anasema aliomba ruhusa kazini kwake pia.

Tumekaa ndani tukapika tukala tukawa tu sebuleni tunaangalia movie. Ile movie ilikuwa na mambo ya mapenzi. Nikawa nmesimamisha. Mchumba wangu akaja nlipokaa ili tuendelee maana ni week ya pili sasa hatujafanya.

Alipokuja kuishika na kuiweka... Hamu yangu iliniishia kabisa. Alishangaa maana haikuwah kutokea hata niwe naumwa anajua napenda sana hilo tendo. Akil yangu ilirudi kwa rafik zangu aliotembea nao. Nikiwaza nao aliwatendea hiv hiv...

Najua nina wivu lakini kwa haya ya huyu mchumba ya kutembea na rafiki zangu 3 yananipa ugumu sana. Natamana nsingefaham. Najuta kwa nini walinambia. Kila napomfikiria inanijia picha ya akina etoo na wenzie...

Inanitesa na ameniathiri sana. Nlikuwa najua of course kuwa aliwah na mahusiano. Lakini naumia ntamwoaje mwanamke ambaye wenzangu wanamjua undani wake vizur? Inaniuma. Nashindwa ... Leo nmeshindwa tena kufanya naye sex. Nalazimika kuvuta hisia za mwanamke mwingine inasimama. Akinishika nikimfikiria yeye inalala.

Nahitaj dawa nisahau hayo. Nataman kama ngepoteza kumbukumbu ya hayo. Inanitesa saa week ya pili. Yeye haonekani kuumia sana na hili.alisha take easy ananiuliza ndo yetu itakuwa lini. Anataka nimalizie kujitambulisha rasmi kwa ndugu zake wote. She is not affected at all.

Nahitaj kuweka akili sawa. Haiwezekani nitafute namna ya kuachana naye... Sikuwah kudhani mapenzi yangekuwa magumu hivi.
 
Etooo'
Le striker

Acha kujifikiria vibaya bna kama unampenda na ameomba ruhusu aje inamaana anakupenda
Tatizo ni kuwa upendo utaendelea kuwepo palepale
Je hizo wiki mbili alikuwa yuko peke ake hakuwahi kupata ham
Usinisikilize sana maana mi ni kind of person ambae sijawahi kuvuka na mschana ninaempenda mwaka. Wivu mbaya somtyms
 
Ila inaonekana the girl real loves you
Kubali unawivu na anza kumfatilia kila kitu kuanzia cm ad mitandao ya kijamii
Jiwekee spies everywhere na kila analolifanya lichunguze
This is the only way kuondoa wivu, coz mambo yakienda vizur utamuamin na kila kitu kitakuwa poa
 
Kijana acha mawazo ya kitoto, ushakua mtu mzima.

Wema Sepetu katembewa na lundo la wanaume lkn kila anaetaka kudate nae hawezi waza huo utumbo.

Diamond na ustaa wake kazaa na mwanamke mwenye watoto wa 3.

Inawezakuwa tatizo ni unaona kutaniwa na rafiki zako waliotembea na mchumba wako.

Embu fikiria, ingekuwa ni wewe Ni Kanye west ambae ameshuhudia Kim akirekodiwa na jamaa akimgegeda ungejisikiaje?

Mwanaume kamili hupaswi kuwa na fikra kama hizo, Ukishindwa kuhimili basi achana nae.

Ila unapaswa kukomaa kiume, achana na fikra za kitoto na utamaduni wa kibongo mbovu
 
Back
Top Bottom