Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.
Nitakupata vipi? Naona upo sereous na mimi nipo tayari kwa kazi hiyo nina sifa zote utakazo kazi ni kwako tu mama.
 
Mama kama wataka kulea kalee wanao. Huna hata aibu. Get serious woman
 
Ni pm nikupe mpango mzima
 
haaaa!na ubibi wote huo unataka kumgegeda nani???ushindwe na ulegee.
 
Hawa wanaoweka namba zao humu wako sawasawa kweli?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wonders will never end....haya bibi wa miaka 55 zaidi ya nusu karne anataka kijana wa miaka 26 yani mjukuu wake kabisa uwiiiiiii dunia imefika pabaya
 
wonders will never end....haya bibi wa miaka 55 zaidi ya nusu karne anataka kijana wa miaka 26 yani mjukuu wake kabisa uwiiiiiii dunia imefika pabaya

Hivi enzi zile unajua mababu walikuwa wanaoa watoto wa miaka mingapi ?, Kwahio kama ni kufika pabaya useme ilifika pabaya na sio imefika pabaya
 
Hivi enzi zile unajua mababu walikuwa wanaoa watoto wa miaka mingapi ?, Kwahio kama ni kufika pabaya useme ilifika pabaya na sio imefika pabaya

Tulizoea kuwaona wababu na sio wabibi thats why nimesema imefika pabaya coz na wabibi wameingia kwenye ishu hizi while before hawakuhusika
 
Nina miaka 24 TU!

Napaswa kuja kwenye usahili na cheti cha kuzaliwa?

Kama ndiyo,nipe wiki mbili nifanye mpango RITA...sawa bebi?mengine tuendelee tu teh teh teh,yah!

Ni mimi katoto kako ka ukweli!
 
cc: Erickb52hahahahahahhahahaha kumbe watu wakiwa na jezi tofauti ni hatareeeeeeeeeeeee
 
34yrs nipo
 
0767084417
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…