Nahitaji mpenzi mzungu

Status
Not open for further replies.
Nairobi, Kenya

Mahojiano katka lugha ya Kiswahili

Sikiliza masaibu ya huyu mama aliyekuwa desperate kupata mzungu bila kujali background check, tabia ,hulka na kuamua kuchukua hatua za kificho na za haraka kutizima azma yake bila Kwanza kufanya uchunguzi na kupata baraka au maoni. Mama akisingiziwa ni kichaa akapelekwa hospitali za Afya ya Ubongo ....

Source: TUCO Kenya

Gwendoline
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom