Hivi CHIEF MKWAWA hii kutumia simu nahisi kama inahalibu sana waya wa usb. Pamoja na system charge ya simu? Au pc yangu ndo tu inamatatizo. Mana nilikuwa na simu ya kwanza tangu nilivoanza kutether, ikaanza kuchagua charge, hatimae na yenyew ikafa system charge. Nikanunua simu ya pili na yenyewe haikuchukua mda nilivokuwa tu natumia kwenye pc pia waya wake wa usb ukafa pia. Ni kawaida au pc yangu ina problem.