Nahitaji modem aina ya huawei e303

djesco

Senior Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
166
Reaction score
52
Habari wakuu nahitaji modem aina ya huawei e303 ile ya kutumia dash-bord ya HI-LINK siitaki maana ama kama unayo iliyochakachuliwa niweze kutumia mitandao yote pia nitashukuru.
Offer yangu ni tshs.15000
Napatikana Dar es salaam
Nipigie ama text 0799404808
Asanteni

 

Attachments

  • images.jpg
    9.2 KB · Views: 224
Wasalaam Hapa Jamvini!

Wakuu, ni miezi kadhaa imepita sasa Tangu nitumie account yangu ya Meridianbet....

Hivyo nimejikuta hata nimesahau Account ID inayotumika ku_Deposit fedha kwa Meridianbet.

Nifanyeje Wakuu?

Universal modem ambayo haijachakachuliwa inatumia mitandao yote na pia ina-support 4G bei 25000
 

Universal modem ambayo haijachakachuliwa inatumia mitandao yote na pia ina-support 4G bei 25000
 
20 Nakupa,ninayo hiyo inapga na kupokea cm na text,iko vzr
 
Leta 20,000. Ninayo Universal tena zile za mwanzo kabisa. Kazi ni kwako.
 
Nililkuwaga nayo uzuri wake inapiga na kupokea simu bila headphone
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…