No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,816
Nahitaji mtu wa ajili ya mradi wa kulima shamba la ekari moja kwa ajili ya mbogamboga na matunda na ufugaji km upo njoo pm tuyajenge! Uwe serious tafadhali... Mshahara kila kitu tutaongea, uwe tayari kukaa hukohuko shamba kila kitu ntagharamia mwenyewe tukielewana.