Marce Martella Member Joined Feb 23, 2018 Posts 26 Reaction score 20 Jul 24, 2018 #1 Habari wakuu je ni wapi naweza kupata mkopo wa haraka wa million moja na nusu m1.5 kwa dhamana ya million 3 msaada wenu tafadhali Locatio😀ar es salaam Vitu vya dhamana 1.washing machine 2.mashine ya mazoezi
Habari wakuu je ni wapi naweza kupata mkopo wa haraka wa million moja na nusu m1.5 kwa dhamana ya million 3 msaada wenu tafadhali Locatio😀ar es salaam Vitu vya dhamana 1.washing machine 2.mashine ya mazoezi
bachelor sugu JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 2,689 Reaction score 3,651 Jul 24, 2018 #2 Marce Martella said: Habari wakuu je ni wapi naweza kupata mkopo wa haraka wa million moja na nusu m1.5 kwa dhamana ya million 3 msaada wenu tafadhali Locatio😀ar es salaam Click to expand... Mh mkopo wa m1.5 kwa dhamana ya m3. ????? Wafafanulie vizuri unachomaanisha hapo
Marce Martella said: Habari wakuu je ni wapi naweza kupata mkopo wa haraka wa million moja na nusu m1.5 kwa dhamana ya million 3 msaada wenu tafadhali Locatio😀ar es salaam Click to expand... Mh mkopo wa m1.5 kwa dhamana ya m3. ????? Wafafanulie vizuri unachomaanisha hapo
yahoocom JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 331 Reaction score 380 Jul 24, 2018 #3 bachelor sugu said: Mh mkopo wa m1.5 kwa dhamana ya m3. ????? Wafafanulie vizuri unachomaanisha hapo Click to expand... Kabisa
bachelor sugu said: Mh mkopo wa m1.5 kwa dhamana ya m3. ????? Wafafanulie vizuri unachomaanisha hapo Click to expand... Kabisa
Marce Martella Member Joined Feb 23, 2018 Posts 26 Reaction score 20 Jul 24, 2018 Thread starter #4 bachelor sugu said: Mh mkopo wa m1.5 kwa dhamana ya m3. ????? Wafafanulie vizuri unachomaanisha hapo Click to expand... Yaani namaanisha kwa dhamana ya kitu/vitu vyenye thamani ya million 3
bachelor sugu said: Mh mkopo wa m1.5 kwa dhamana ya m3. ????? Wafafanulie vizuri unachomaanisha hapo Click to expand... Yaani namaanisha kwa dhamana ya kitu/vitu vyenye thamani ya million 3
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,867 Reaction score 5,068 Jul 24, 2018 #5 Marce Martella said: Yaani namaanisha kwa dhamana ya kitu/vitu vyenye thamani ya million 3 Click to expand... Ungetaja hivyo vitu ndio Mtu avutike kukutafuta.
Marce Martella said: Yaani namaanisha kwa dhamana ya kitu/vitu vyenye thamani ya million 3 Click to expand... Ungetaja hivyo vitu ndio Mtu avutike kukutafuta.
Marce Martella Member Joined Feb 23, 2018 Posts 26 Reaction score 20 Jul 24, 2018 Thread starter #6 FYATU said: Ungetaja hivyo vitu ndio Mtu avutike kukutafuta. Click to expand... Uzi umekuwa updated mkuu
FYATU said: Ungetaja hivyo vitu ndio Mtu avutike kukutafuta. Click to expand... Uzi umekuwa updated mkuu
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,499 Reaction score 36,148 Jul 24, 2018 #7 Marce Martella said: Uzi umekuwa updated mkuu Click to expand... unaweza weka picha za dhamana watu wathaminishe kama kweli ni milioni 3 thamani zake
Marce Martella said: Uzi umekuwa updated mkuu Click to expand... unaweza weka picha za dhamana watu wathaminishe kama kweli ni milioni 3 thamani zake
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,867 Reaction score 5,068 Jul 24, 2018 #8 Marce Martella said: Uzi umekuwa updated mkuu Click to expand... Ok, sikuwa nimeona awali.