Itoye
JF-Expert Member
- Sep 29, 2017
- 531
- 1,026
Wakuu salamu,
Nimepata tatizo na nahitaji mkopo wa haraka kiasi Tsh 2,000,000/-. Dhamana yangu ni Bajaj iko vizuri na hadi sasa inaendelea na kazi mwezi march 2021 ilitimiza mwaka mmoja tangu imeingia barabarani.
Utaratibu wa kurejesha fedha hizo, ombi langu nilipe ndani ya kipindi cha miezi 4, Tsh 560,000/- kila mwezi kwa miezi hiyo 4 jumla itakua Tsh 2,240,000/-. Hii maana yake fedha yote itakayopatikana kutoka ktk hii Bajaj kwa kipindi chote cha hii miezi minne naielekeza kulipa hilo deni (hiki ndicho nachoweza, naomba niwe mkweli)
Mimi niko Dsm aliye na uwezo wa kunisaidia ktk hili nitashukuru sana.
Niombe radhi kama maelezo yangu hayajajitosheleza.