Hakuna bank inaweza kutoa hela haraka, hela ya bank in mlolongo mrefu mkuu ,hela ya bank siyo mali ya mtu lazima ipitie approvals nyingi hadi iingie kwako
Hakuna bank inaweza kutoa hela haraka, hela ya bank in mlolongo mrefu mkuu ,hela ya bank siyo mali ya mtu lazima ipitie approvals nyingi hadi iingie kwako
Mkopo wa fedha unatolewa benki na kwenye taasisi za kifedha za watu binafsi, na zilizoinishwa na BOT!
Na mkopo huo huambatana na riba kubwa, huku na wewe mkopeshaji ukitakiwa kuwa na dhamana mfano nyumba, kiwanja, gari, nk. ili ukishindwa kurejesha huo mkopo; dhamana uliyoweka itauzwa na hivyo kufidia mkopo wako.
Nje ya utaratibu huu, huwezi kupata huo mkopo kirahisi tu.