Mi ninazo lakini nahitaji unitumie
1. Andiko lako ( Business Plan)
2. Financial Statements zilizo kaguliwa kwa miaka miwili ya nyuma, na ya mwaka jana (draft statement).
3.Bank Statements za mwaka mzima Plus Confirmation letter ya hiyo benki.
Zitanisaidia kujiridhisha kwamba itakuwa rahisi kurejesha hela yangu.