Duh! Aliyekwambia mm ni mwanafunzi ni nani?kuna assets zimeibiwa kwenye ofisi yangu ndiomana nahitaji mkopo huu wa dharula ili kuzi replace haraka.
Na hata kama ni mwanafunzi kwani ananunua laptop kwa ajili ya kuchezea?
Matatizo huwa hayana hodi kaka,kama independent man nafikili utakuwa umenisoma.
Lkn nashukuru pia kwa mchango wako kwani utawasaidia walengwa.