Emhyr var Emreis
Member
- Apr 14, 2023
- 7
- 0
Au unauza laptop kijanja mkuu. Unless value ya hyo PC iwe x3 ya pesa unayo azima.Habari wakuu.
Kama mjuavyo shida haibishi hodi. Nimepata dharura na nahitaji mkopo wa shilingi laki 4 (400,000 tshs).
Nitarudisha baada ya siku 30 kwa riba ya 20%. Dhamana ni laptop yangu. Naishi Dar es Salaam.
Kwa yeyote mwenye uwezo huo au anayefahamu taasisi inayotoa huduma kama hizo anaweza kunisaidia.
Nawasilisha.
Thamani ya laptop ni sh ngapi?Habari wakuu.
Kama mjuavyo shida haibishi hodi. Nimepata dharura na nahitaji mkopo wa shilingi laki 4 (400,000 tshs).
Nitarudisha baada ya siku 30 kwa riba ya 20%. Dhamana ni laptop yangu. Naishi Dar es Salaam.
Kwa yeyote mwenye uwezo huo au anayefahamu taasisi inayotoa huduma kama hizo anaweza kunisaidia.
Nawasilisha.
Mimi niko Mara natoa kwa riba ya 25% kwa mweziHabari wakuu.
Kama mjuavyo shida haibishi hodi. Nimepata dharura na nahitaji mkopo wa shilingi laki 4 (400,000 tshs).
Nitarudisha baada ya siku 30 kwa riba ya 20%. Dhamana ni laptop yangu. Naishi Dar es Salaam.
Kwa yeyote mwenye uwezo huo au anayefahamu taasisi inayotoa huduma kama hizo anaweza kunisaidia.
Nawasilisha.
Hapana mkuu. Siuzi, naihitaji ndo maana naiweka bondi. Kuhusu thamani, sasa ikiwa 3x nikikupa then ukatokomea nayo je. Maana lazima mzani ubalance.Au unauza laptop kijanja mkuu. Unless value ya hyo PC iwe x3 ya pesa unayo azima.
Ina effect gani kwenye maada mkuu.Jinsia gani ww
Samahani lkn
Hapana, thamani yake ni 550K mkuu. RAM 8 GB, 256 ssd storage, core I5 processor. Iko bien.Laptop aina gani , speciation zake,isije kua Dell latitude d820
550K bossThamani ya laptop ni sh ngapi?
Sawa haina shida. Changamoto nipo DSM. Kama una representative DSM sawa.Mimi niko Mara natoa kwa riba ya 25% kwa mwezi
Branch wanaanza na 20K. Kuhusu wengine hao, nikiwaface wataanza kuraise irrelevant speculations na judgement sizizo na tija. Ndo maana nimeamua kuja directly kwa wanajamvi.Jaribu watu wafuatao.
Mama/baba mwenye nyumba ulikopanga,
Boss wako,
Mchepuko,
Wafanyakazi wenzio,
Marafiki uliotoka nao chuoni,
Wapangaji wenzio.
Branch au tala.
Ukikosa kote huko jiulize unaishije na watu.
Hata Mimi kwa Sasa Nina changamoto kidogo, Nina ndugu wenye pesa lakini siwezi kuthubutu.Branch wanaanza na 20K. Kuhusu wengine hao, nikiwaface wataanza kuraise irrelevant speculations na judgement sizizo na tija. Ndo maana nimeamua kuja directly kwa wanajamvi.
Basi ungeazima 200k mkuu..ili hata wewe upate nguvu ya kurudisha hela ya watu kwa wakati.Hapana mkuu. Siuzi, naihitaji ndo maana naiweka bondi. Kuhusu thamani, sasa ikiwa 3x nikikupa then ukatokomea nayo je. Maana lazima mzani ubalance.