Nahitaji mkopo, nitarejesha na riba

Nahitaji mkopo, nitarejesha na riba

Wakuu habari za mda huu!

Nakuja kwenu nina shida,nina huitaji wa mkopo. Mimi ni mfanyabiashara hapa Dar Es Salaam,najishughulisha na biashara moja wapo ya chakula. Biashara hii ina miaka miwili sasa(ina leseni na nina TIN namba), ivyo tayari ina soko na wateja wa kutosha.

Nina huitaji wa mkopo mmojawapo kati ya Milioni 2 au Milioni 3.
Nitaulipaje?

Kama ni mkopo wa Milioni 2 nitaulipa kwa miezi 10 kila mwezi Tshs 300,000/= ivyo mkopeshaji atapokea jumla Milioni 3 (Riba ya 15%).

Kama ni mkopo wa Milioni 3 nitaulipa kwa miezi 11 kila mwezi Tshs 400,000/= ivyo mkopeshaji atapokea jumla Milioni 4.5 (Riba ya 12.5%).

Usalama wa mkopo?
Nipo tayari kuandikishiana na kusaini mkataba mbele ya mashahidi (na mwanasheria ikibidi).

Kwanini nakopa?
Sababu ya kuhitaji mkopo huu nilikumbwa na dharura ya ghafla iliopelekea mtaji wangu kuyumba.

Dhamana yangu ni nn?
Katika hii biashara nina vitu vyenye thamani ya zaidi ya Milioni 4. Ivyo vinaweza kutumika kama dhamana yangu ya mkopo.

Mwenye nia ya dhati ya kunikopesha namuomba pm.

Natanguliza shukrani!!
Weka hivyo vitu mkuu...
 
Back
Top Bottom