Nenda pale shinyanga emporium ltd . wanatoa Mkopo wa bajaj.Habari za jioni wakuu.
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nahitaji kukopeshwa hela ninunue bajaji ili ipige kazi hapa mjini(Dar es salaam). Nitapambana kila wiki niwe narudisha elfu 40 mpaka mkopo utakapoisha.
Pia baada ya kupata hiyo bajaji naamini itasaidia kuanzisha biashara ndogo ndogo kama,
a) Biashara ya kuuza mboga mboga
b) Biashara ya matunda
c) Mgahawa wa kuuza supu ya pweza na vyakula vingine na,
d) Banda la chips .
Napenda sana niwe tajiri mkubwa sana sema hela inakuwa kikwazo kwa upande wangu.
Nimewasilisha!
Mkuu.....Imekaa poa
Ebu ngoja niwe msomaji tu hapa, niwapishe na wengine wenye kutazama mambo kwa jicho la tatuDhamana itakuwa ni bajaji nitakayonunua Mkuu.
Hivyo katika mkataba tutaweka hilo sharti kwamba endapo nitashindwa kulipa bajaji niliyonunua itakuwa Mali yako.
Nimekuelewa sana Mkuu!Lakini pia kumbuka Bajaji kwasasa inabei ya walau 7milioni.
Na kimahesabu ikiwa utarudisha 40,000 per week.....
Maana yake kwa mwezi utakua unarejesha 160,000........
Hii maana yake kwa mwaka mmoja ambao ni miezi 12, utakua na rejesho la 1,920,000....
Sasa......
Ili uweze rejesha mkopo wako wa approximately 7,000,000/40,000 kila mwezi......
Jibu ni kwamba huo mkopo wa pesa / Bajaji utakuchukua karibu miaka minne ili uwe umekamilisha kuulipa walau 7,680,000/=
Kwa hesabu hii, naomba nibet kwamba hauwezi pata mkopo, labda badilisha heading iwe unaomba msaada ambao utakua ukirejesha walau 40,000 kwa kila wiki
Iko sehemu gani Mkuu?
Iko sehemu gani Mkuu?
Karibu sanaNashukuru Mkuu!
Sio kweli mkuu,unapotosha hapoLakini pia kumbuka Bajaji kwasasa inabei ya walau 7milioni.