Nahitaji mkopo nina dhamana ya kiwanja

Nahitaji mkopo nina dhamana ya kiwanja

Wakuu nihitaji kukopa milioni moja fasta. Kuna mambo yamenibana, dhamana naweka hati ya kiwanja. Nipo Dar kama mtu ana idea sehemu naweza pata pia aniambie.
kama una nia ya kurejesha pesa ukikopa, si uende tu bank mzee? au unaogopa riba? yaani kiwanja unacho tena kina hati, na hati genuine, panda daladala au mkoko wako chap nenda bank ya karibu onana na afisa mikopo. utapata hela. au unataka kuuza icho kiwanja? funguka.
 
bank gani mfano, nimeenda kama bank 2 hivi maarufu wamesema wanahitaji nyumba na si kiwanja. niambie niende benki gani specifically
 
Back
Top Bottom