Nahitaji mkopo nina dhamana ya kiwanja

Nahitaji mkopo nina dhamana ya kiwanja

Kuna wale wanaoweka matangazo kwenye round about sijui huwa wanakopa kweli?
 
wakuu nihitaji kukopa milioni moja fasa. kuna mambo yamenibana, dhamana naweka hati ya kiwanja. Nipo Dar. kama mtu ana idea sehem naweza pata pia aniambie
Kiwanja kipo maeneo gani mzee baba
 
Wakuu nihitaji kukopa milioni moja fasta. Kuna mambo yamenibana, dhamana naweka hati ya kiwanja. Nipo Dar kama mtu ana idea sehemu naweza pata pia aniambie.
Hapo inabidi muhandikishiane kabisa, kwamba ukishindwa kiwanja Mali yake,
 
Wakuu nihitaji kukopa milioni moja fasta. Kuna mambo yamenibana, dhamana naweka hati ya kiwanja. Nipo Dar kama mtu ana idea sehemu naweza pata pia aniambie.
Niuzie hicho kiwanja mkuu. Fasta nakulipa leoleo
 
Hapo inabidi muhandikishiane kabisa, kwamba ukishindwa kiwanja Mali yake,
Unajua sheria ya ardhi?yaani ukimpatia pesa hiyo akaweka dhamana kiwanja hata mkiandikishiana, akishindwa kurudisha hiyo pesa huna haki ya kukichukua hicho kiwanja, na ataenda mahakamani atakushinda tu!!bora mtu aweke gari au kitu chochote kile lakini sio kiwanja.labda akuuzie kabisa
 
Back
Top Bottom