Nahitaji mkopo, dhamana nyumba

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Wakuu,

Nina mama yangu mdogo anahitaji mkopo wa milioni 6 kwa haraka kwa mtu binafsi au kwa taasisi yeyote na atakuachia nyumba yake yenye vyumba vinne na sebule pia ina uwanja wa kutosha iliyopo CCM Kirumba Pugu Dar Es Salaam.

Kama ni wewe au unamfahamu mtu au taasisi inayoweza kutusaidia katika hili tutakushukuru sana.

Sababu ya kutaka huu mkopo ni kutaka kufanya biashara kwani anazo nyumba 2 na hii moja ndiyo anataka kuitumia kupata huo mtaji, Bank nyingi tulizoenda wanataka awe tayari na biashara ndiyo wampe mkopo na siyo nyumba peke yake na yeye mtaji wa kuanzisha hiyo biashara kwa sasa hana.

Yeyote anayeweza kusaidia katika hili anipigie simu kwenye 0769142586, ukihitaji jibu lolote la haraka kuhusu hili nipigie simu ukiuliza hapa nitachelewa kukujibu nipo mbali kidogo na mtandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…