TADB navyowajua miye hawapo kuwa nufaisha wakulima wadogo hata kidogo!!
Hio benki ya kilimo ni kwaajili ya wakulima wakubwa tena walimao kwa teknolojia ya kisasa....go try your luck bro!
Sina imani na mabenki. Mungu nisaidie nipambane kivyangu. Ila walivyo wajinga, siku ukifanikiwa ukawa mkulima mkubwa una mihela yako kwenye akaunt, wanakuja wenyewe kukubembeleza ukope kwao.