Nahitaji mke

Nahitaji mke

JS Farms

Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
71
Reaction score
132
sifa:

umri kuanzia 25-35

elimu kuazia kidato cha nne

dini mkristo

asiwe na kazi ya kuajiliwa,awe amejiajiri

awe tayari kuishi mkoa wowote wakati wowote.

asiwe na mtoto.

awe na tabia njema,awe msafi,anayejua kupika,mwenye upendo,mcheshi na mkarimu.

asiwe bonge wala asiwe mwembamba,awe wa wastani

asiwe mfupi

awe mbunifu na mchapa kazi

aliye tayari tuwasiliane:kwa pm.
 
binadamu hajakamika kaka sifa zote hizo,lakin kila la heri MUNGU akufanikishie.
 
Duh utadhani unachagua samaki, nataka sato mkubwa, mwenye mkia mdogo awe anataga...
kila laheri shemeji.
 
sifa:

umri kuanzia 25-35

elimu kuazia kidato cha nne

dini mkristo

asiwe na kazi ya kuajiliwa,awe amejiajiri

awe tayari kuishi mkoa wowote wakati wowote.

asiwe na mtoto.

awe na tabia njema,awe msafi,anayejua kupika,mwenye upendo,mcheshi na mkarimu.

asiwe bonge wala asiwe mwembamba,awe wa wastani

asiwe mfupi

awe mbunifu na mchapa kazi

aliye tayari tuwasiliane:kwa pm.

Umesahau kuweka sifa zako mkuu.
Ni muhimu sana, wanawake nao wana vigezo vyao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom