Naomba uni pm tafadhali charminglady.Kwanini uliacha na mkeo? Hebu funguka maana nina vigezo aisee...
Kwanini uliacha na mkeo? Hebu funguka maana nina vigezo aisee...
Last born wake anakuzidi miaka mitatu ujue.....

Haya poa ila sitaki kuombwa ushauri oooh baby deepwater kanitenda.....Hebu niwache nichangamkie bahati bana! Mie ujue nina 38 eeeehhhh.......
Haya poa ila sitaki kuombwa ushauri oooh baby deepwater kanitenda.....
Nahitaji mke ambaye atakuwa tayari kupima Ukimwi,mimi nina umri wa miaka 44 nina watoto 2 na nimeajiriwa,ninaye muhitaji naomba awe na umri kuanzia miaka 39 mpaka 42,awe mfayakazi wa kuajiriwa au mfanyabiashara mwenye mapato ya kuridhisha,asiwe na watoto zaidi ya 2.Lengo la kuwa na kipato kinachoridhisha ni kwa ajili ya kumudu kuwalea watoto wetu.Atakayekuwa tayari ani PM tafadhali.